Real Madrid vs PSG.. Who will win

Ni Madrid vs PSG

Ikumbukwe kua tangu 2013 Madrid ameshinda mechi sita(6) huku PSG akishinda mechi tatu(3) kama ifuatavyo:
1: 2015 kwenye mashindano ya EUEFA madridi alishinda kwa aggregate ya goli moja
2: 2016 kwenye mashindano ya international champions cup Madrid alifungwa goli 3 kwa moja akiwa nyumbani
3: 2018 kwenye mashindano ya EUEFA madridi alishinda kwa aggregate ya goli 5 kwa 2
4: 2019 PSG alishinda kwa aggregate ya goli 5 kwa 2 
Na sasa wamekutana tena kwenye hatua ya mtoano huku madridi akipoteza kwa goli moja kwenye mchezo wa Kwanza uliopigwa nchini ufaransa goli hilo likifungwana mshambuliaji mwenye asiki ya ufaransa kyllian mbappe kunako kipindi cha pili na kufanya aggregate kua 0-1.. je madridkupindua meza dhidi ya PSG mbele ya MESSI au PSG kuendeleza ubabe mbele ya  BENZEMA🌚 Ni vita kati ya  MESSI Vs BENZEMA ikumbukwe kua madrid anamwalika PSG pale mjini MADRID-SPAIN majira ya saa tano kamili usiku 
Who will win  match


Comments

  1. 🀣🀣🀣🀣 PSG hawezi toka leo🀣🀣

    ReplyDelete

Post a Comment